Habari 5 Kubwa Za Soka Jumatatu May 4

Tetesi Za Soka Barani Ulaya Jumatatu May 4

1. Tottenham inaongoza katika kinyang'anyiro cha kutaka kumsajilikiungo wa kati wa Barcelona na Croatia, 32, Ivan Rakitic. 

2. Inter Milan inataka kumsajili kiungo wa kati wa Manchester United na Ufaransa Paul Pogba, 27.

3. Arsenal na Chelsea zote zinataka kumsajili kiungo wa kati wa klabu ya Feyenoord raia wa Uturuki Orkun Kokcu, 19.

4. Mshambuliaji wa Chelsea na Uhispania Pedro, 32, anawindwa na Roma na Real Betis.

5. Kiungo wa kati wa Ufaransa Tanguy Ndombele, 23, yuko tayari kusalia na kupigania nafasi yake katika timu licha ya kwamba Barcelona imeonesha nia ya kutaka kumsajili.


EmoticonEmoticon