Ligi Kuu Hispania LaLiga Yarejea Na Wachezaji Waanza Rasmi Mazoezi

Ligi Kuu Hispania LaLiga leo Jumatatu ya May 4 wachezaji wameanza wamezoezi binafsi na kati ya Alhamisi na Jumamosi wanaweza kurejea uwanjani, uamuzi uliopo Ligi itarejea wachezaji wa vilabu vyote 20 wakiwa wamepima corona lakini inashauriwa kuwa waishi mbali na familia zao kwa maana ya hoteli za timu wakati huu wakimalizia msimu 2019/20.


EmoticonEmoticon