Lil Wayne Na LaTecia Thomas Wameripotiwa Kuachana

Hii ni baada ya mrembo huyo kuonekana bila pete yake ya uchumba na pia wote wawili kupunguzana instagram.

Mapema mwaka huu, Lil Wayne alithibitisha mahusiano yake na mrembo huyo mwanamitindo wa Australia. Kupitia album yake Funeral, Wayne alimtukuza

"You know wifey from Australia, she said, ‘Cheers, mate’/ Then we toast and see how you n****s tears taste," alichana Wayne kwenye moja ya ngoma ndani ya album yake.

Mwezi April, mrembo huyo alionekana na pete ya uchumba kwa mara ya kwanza na pia akiwa na tattoo za kufanana na Wayne, pamoja na kidani kilichoandikwa "Carter" alichopewa zawadi na Wizzy.


EmoticonEmoticon