Maneno Ya Meek Mill Ambayo Huwatia Nguvu Vijana Wengi Kufikia Mafanikio

" Nimetokea katika mazingira ambayo ni kawaida kuona watu wanauza madawa ya kulevya barabarani , wanapigana risasi hadharani , hivyo nilifunzwa namna ya kuishi . Nilijifunza kuwa kiongozi na sikufata makundi niliyoyaona , ndio maana leo hii nmefika hapa nilipo. Inakubidi uwe kiongozi, na usiruhusu mtu/kitu kikutoe kwenye njia ya kukimbilia ndoto zako " Amesema Meek Mill


EmoticonEmoticon