Meek Mill Na Mpenzi Wake Milano Wapata Mtoto Wa Kiume

Rapper Meek Mill (32) ameshare siku yake ya kuzaliwa na mwanae wa kiume ambaye alizaliwa siku ya jana Mei 06.

Meek Mill ambaye jina lake halisi ni Robert Rihmeek Williams kutoka pande za Philladelphia, Jumatano hii, Mei 6 amesherehekea siku yake ya kuzaliwa na pia kuzaliwa kwa mwanae wa kiume.

Meek amepata mtoto huyo na mpenzi wake Milano Di Rouge


EmoticonEmoticon