Migahawa Ya Thailand Yaweka Uzio Kwa Wateja Watakaoingia Migahawani Kupata Chakula

Migahawa katika Jiji la Bangkok nchini Thailand, imeamua kuja na Utaratibu wa kuweka Uzio wa Plastic baina ya Mteja na Mteja , ili kuweza kuwalinda na Maambukizi ya Corona.
Raia nchini humo wameruhusiwa kutoka na Kuendelea na shughuli zao ikiwemo Kula Migahawani ,baada ya kua katika kifungo Cha Muda (Lockdown), kutokana na Athari za COVID-19


EmoticonEmoticon