Tanzania Yapokea Dawa ya Covid 19 Kutoka Madagascar

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) kwa niaba ya Tanzania leo Mei 8, 2020 amepokea msaada wa dawa zinazofubaza Virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa COVID-19 kutoka Serikali ya Madagascar.
Prof.  Kabudi amesalimi Madagascar leo na kupokelewa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Madagascar, Tehindrazanarivelo Djacoba As Oliva katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Antananarivo.

Credit:globalpublishers


EmoticonEmoticon