VIDEO | Lady Gaga, Ariana Grande - Rain On Me (Official Music Video)

Legendary Lady Gaga amemshirikisha mwanadada mdogo mwenye kipaji cha Sauti Ariana Grande kwenye video ya wimbo wake mpya, "Rain On Me" utakaopatikana kwenye album ya "Cromatica" inayotegemewa kuingia sokoni May 29. Video imeongozwa na ROBERT RODRIGUEZ.


EmoticonEmoticon