VIDEO | Martha Mwaipaja – Maumivu Ya Jaribu

New Video "Mumivu Ya Jaribu" By Martha Mwaipaja Download

Maumivu ya jaribu ni wimbo ambao unaelezea kuwa majaribu yanaumiza moyo lakini Mungu yupo kutuokoa katika hali zote na shida tunazopitia.

Haijalishi unapitia wapi lakini uweza wa Mungu upo kukusaidia na kukuvusha katika yote unayoyapitia.

Songambele Mungu anajua unayoyapitia kila jambo lina mwisho wake.EmoticonEmoticon