VIDEO | Tekash 6IX9INE- GOOBA (Official Music Video)

New Video 'Gooba' By Tekash 6IX9INE 

Baada ya kukubaliwa maombi ya dhamana ya kukaa nje ya kifungo, Tekashi ameisogeza video ya wimbo wake mpya 'Gooba' ambao special kwa ma heaters na umetrend baada ya muda mfupi tu kuingia huko Youtube. Video imeongozwa na CanonF8, David Wept & 6ix9ine.


EmoticonEmoticon