Visa Vya Corona Kenya Vyaongezeka Kufikia 396, Idadi Ya Vifo Na Waliopona Nimekuwekea Hapa

Verified

Wizara ya Afya Kenya imesema visa vya vya corona vimeongezeka na kufikia 396 nchini humo, wagonjwa waliopona corona hadi sasa wameongezeka pia na kufikia 144 huku waliofariki kwa corona kenya wakifikia 17.


EmoticonEmoticon