Visa Vya Corona Uganda Vyaongezeka Kufikia 83, Hakuna Kifo, Idadi Ya Waliopona Ipo Hapa

Wizara ya Afya Uganda imesema kuna ongezeko la wagonjwa wengine wawili wa corona na kufanya idadi ya visa vya corona Uganda kufikia 83, wagonjwa wapya wote ni Madereva wa Malori kutoka Kenya, waliopona corona Uganda hadi sasa ni Watu 52 na hakuna kifo.


EmoticonEmoticon