Wauzaji Wa Vifaa Bora Vya Ujenzi Vilivyothibitishwa Na Wizara Ya Ujenzi Tanzania Ndyo Hawa

Josen Traders Company ni wauzaji maarufu wa vifaa vya Ujenzi vyenye ubora na vilivyothibitishwa na wizara ya ujenzi Tanzania 2020.
Pia ni mawakala wa mabati kwa makampuni ya Alaf, Sunshare, Dragon, Gsm, Kiboko na mengine mengi.
Wanaruhusu mteja kuwekeza pesa kidogo kidogo kupitia akaunti ya kampuni ndani ya miezi mitatu akimaliza anakuja kuchukua mzigo wake.

Bidhaa Za Ujenzi Wanazouza
1.Gypsum Board
2.Tiles
3.Mabati Aina zote
4.Nondo
5.Tiles
6.Misumari
7.Pvc Board
8.Mbao Aina Zote
NOTE : Watoa usafiri ndani ya Dar es salaam na kwa wateja wetu wa mikoani kampuni inachangia usafiri.

WANAPOPATIKANA:
Mandela Road Ilala Buguruni Karibu Na Popex Hotel.

MAWASILIANO:
Whatsapp/Call : 0713-155352/0767155352
Website/Blog : Josen Trades.blgspot.com


EmoticonEmoticon