Habari 5 Kubwa Za Soka Jumanne Juni 9

Tetesi Za Soka Ulaya Jumanne Juni 9
Tetesi Za Soka Ulaya Jumanne Juni 9
1. Manchester United ilifeli katika jaribio la kumnunua mchezaji wa Barcelona Ansu fati, 17 kwa dau la £89m baada ya kupoteza hamu ya kumsajili mshambuliaji wa England Jadon Sancho, 20.
2. Ajax imethibitisha kwamba Man United ina hamu ya kumsaini kiungo wake wa kati kutoka Uholanzi mwenye umri wa miaka 23 Donny van de Beek.
3. Chelsea inashindana na Tottenham pamoja na Borussia Dortmund kumsaini kiungo wa kati wa Flamengo na Brazil Gerson, 23.
4. Kiungo wa kati wa Arsenal Henrikh Mkhitaryan anataka kuhamia Roma kwa kandarasi ya kudumu baada ya raia huyo wa Armenia ,31, kujiunga na timu hiyo ya Serie A kwa mkopo wa muda mrefu mwisho wa msimu uliopita.
5. Newcastle United inaweza kununuliwa na mfanyabishara wa Marekani iwapo kampuni mmoja ya Saudia haitakamilisha ununuzi wa klabu hiyo.


EmoticonEmoticon