Habari 5 Kubwa Za Soka Jumatano Juni 3

Tetesi Za Soka Ulaya Jumatano Juni 3

1. Kocha wa Real Madrid Zinedine Zidane amezungumza na wakala wa kiungo wa kati wa Manchester United Paul Pogba, 27, akisema kuwa bado angependelea kumsajili mchezaji huyo. 

2. Barcelona ina mpango wa kumsaini tena beki wa kati wa Kihispania Eric Garcia,19, kutoka Manchester City.

3. Chelsea wamemuweka mchezaji wa nafasi ya ulinzi wa Leicester Ben Chilwell, 23, katika mpango wao wa uhamisho lakini inaweza kuwagharimu mpaka kiasi cha pauni milioni 85 kumnasa mchezaji huyo.

4. Inter Milan watamsajili mshambuliaji wa Arsenal Alexandre Lacazette,29, endapo mshambuliaji wa Argentina Lautaro Martinez,22, atajiunga na Barcelona.

5. Manchester United wamebainisha kuwa winga wa Velez Sarsfield Thiago Almada,19, anawezekana akawa sehemu ya mpango wao wa uhamisho mbadala wa winga wa Borussia Dortmund Jadon Sancho, 20.


EmoticonEmoticon