Habari 5 Kubwa Za Soka Jumatano Juni 4

Tetesi Za Soka Ulaya Alhamisi Juni 4

1. Juventus imewasiliana na Barcelona kwa lengo la kusaini mkataba na mshambuliaji Mfaransa Ousmane Dembele, mwenye umri wa miaka 23, kwa mkopo msimu huu.

2. Matumaini ya kocha wa Manchester United Ole Gunnar Solskjaer kuongeza kitita kwa ajili ya uhamisho kupitia mauzo ya wachezaji kama Marcos Roho, 30 , Beki wa kati Chris Smalling na mshambuliaji Alex Sanchez, 31, watakumbwa na athari zilizotokana na janga la virusi vya corona .

3. Paris St-Germain wanahitaji pauni milioni 156 kutoka Barcelona kwa ajili ya mshambuliaji wa Kibrazil Neymar, 28.

4. Real Madrid wanapendelea kumsajili winga wa Borussia Dortmund Jadon Sancho,20.

5. Watazamaji watakuwa na nafasi ya kusikiliza kelele za kutengeneza za mashabiki wakati Ligi ya Primia itakaporejea. 


EmoticonEmoticon