Justin Bieber Akana Madai Ya ubakaji Anayodaiwa Kufanya

Justin Bieber
Justin Bieber ameibuka na kukanusha tuhuma za unyanyasaji wa kingono. Jana mwanamke mmoja alijitokeza twitter na kudai kwamba mwimbaji huyo alimshambulia kingono mnamo March 9, 2014 mjini Austin Texas.

Bieber amesema tuhuma hizo hazina ukweli wowote, na hiyo siku iliyotajwa na mwanamke huyo aitwaye Danielle, yeye hakuwepo kwenye eneo hilo lililotajwa. Kabla alihudhuria tamasha moja na kuimba nyimbo kadhaa kisha kuondoka na alikuwa na Selena Gomez, aliyekuwa mpenzi wake wakati huo.
Justin Bieber's Tweets
Justin Bieber's Tweets
Justin Bieber's Tweets
Justin Bieber's Tweets


EmoticonEmoticon