Kura Itakayomuwezesha Raisi Wa Urusi Vladmir Putin Kuwa Madarakani Miaka 36

Vladmir Puttin
"Bila Putin, hakuna Urusi. " Haya ni maoni ya mkuu wa wafanyikazi wa Kremlin, na inadhihirishwa na mamilioni ya Warusi ambao kwa miongo kadhaa wamemchagua tena Vladimir Putin kuendelea kuwepo madarakani kama Waziri mkuu au Rais.
Imani hii inaweza kurudiwa Julai 1, baada ya kura ya maoni ya kitaifa ya kurekebisha katiba ya Urusi, ili kumwezesha Rais Putin kupata nafasi nyingine ya miaka sita tena.
Katika miaka 67, Bwana Putin hajatoa uamuzi wa kugombea tena urais baada ya 2024, wakati muhula wa sasa unamalizika - na anaweza kukaa madarakani hadi 2036.
Kura ya maonialada Nyekundu la Moscow, kuashiria kumbukumbu ya miaka 75 ya kuisamabalatis itafanyika siku moja baada ya maandamano ya siku ya Ushindi yaliyowekwa tena kwenye Jha chama cha Nazi Ujerumani na kumalizika kwa vita kuu ya dunia barani Ulaya


EmoticonEmoticon