Mtandao Wa Speedtest Umetoa Orodha Ya Nchi 10 Zinazoongoza Kwa Kasi Kubwa Ya Internet

Internet speed
Hizi ndio nchi 10 ambazo zinaongoza kwa kuwa na kasi kubwa ya Intaneti (Internet speed), katika orodha iliyotolewa April 2020.

Kwa mujibu wa Speedtest, mtandao ambao hupima kasi ya intaneti, umezitaja nchi hizo na kuiweka nchi ya Singapore kwenye namba 1, huku Marekani ikiwa haipo kwenye Top 10 kwa mwaka huu.

1. Singapore - Download speed 198.46 Mbps, Upload speed 207.17 Mbps

2. Hong Kong (China) - Download speed 176.70 Mbps, Upload speed 172.96 Mbps

3. Thailand - Download speed 159.87 Mbps, Upload speed 125.98 Mbps

4. Switzerland - Download speed 152.05 Mbps, Upload speed 97.88 Mbps

5. Romania - Download speed 151.87 Mbps, Upload speed 110.67 Mbps

6. Monaco (Ufaransa) - Download speed 140.10 Mbps, Upload speed 79.29 Mbps

7. Andorra - Download speed 139.66 Mbps, Upload 148.94 Mbps

8. Macau - Download speed 137.47 Mbps, Upload speed 127.52 Mbps

9. Sweden - Download speed 137.43 Mbps, Upload speed 109.13 Mbps

10. Denmark - Download speed 136.44 Mbps, Upload speed 105.46 Mbps


EmoticonEmoticon