Mtoto Wa Marehemu George Floyd Apewa Hisa Na Kampuni Kubwa Nchini Marekani

GiannaFloyd Hisa Disney
Nyota imeendelea kumuwakia mtoto wa Marehemu George Floyd (Mmarekani mweusi aliyeuawa na polisi Marekani) , GiannaFloyd , baada ya kampuni kubwa ya Filamu na burudani Disney , kumpa hisa ya kuwa Mmoja ya wamiliki wa Kampuni hiyo

Kwa mujibu wa tovuti ya TMZ , Mmoja wa wana hisa wa Disney, Babra Streisand , amefikia uamuzi wa kumzawadia mtoto huyo Hisa , Kama moja ya 'support' Kutokana na kuguswa na kifo Cha baba yake •

Tayari Gianna Floyd ameshapata misaada mbalimbali kutoka kwa taasisi na watu mashuhuri, akiwemo Kanye West ambae alijitolea Zaid ya Tsh bilion 4 ziweze kumsomesha.


EmoticonEmoticon