Raisi Wa Uganda Museveni Afunguka Kuhusiana Na Vipimo Feki Vya Corona

Yoweri Museveni
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema kuna uzembe umefanyika Maabara na kupelekea Watu kuambiwa wana corona wakati hawana.

Raisi huyo amesema kwamba, “Tuna maambukizi 679 ya corona hadi sasa Uganda ila kati ya hawa Watu baadhi yao wameambiwa wana corona baada ya vipimo vya Maabara pale Makerere wakati hawana, Maabara imekosa umakini, inaonekana kuna wafanyakazi wachache Maabara na huenda walichoka”


EmoticonEmoticon