T.I Ameamua Kuwa Mwalimu Wa Kozi Ya Trap

TI
Rapper TI ameingia makubaliano na Chuo Kikuu cha Clark Atlanta cha nchini Marekani kwa ajili ya kufundisha kozi ya biashara ya muziki wa Trap, kozi ambayo itatolewa kwa Wanafunzi watakaokapenda kufanya kozi hiyo ya muziki miondoko ya Trap.


EmoticonEmoticon