Travis Scott Anunua Mjengo Wenye Thamani Ya Billion 54

Travis Scott anaunua Mjengo Mpya
Mjengo mpya wa rapper Travis Scott ambao umemgharimu pesa taslimu kiasi cha TSH. Bilioni 54.4 za Kitanzania kuununua.
Nyumba mpya aliyonunua Travis Scott
Mjengo huo upo mjini Brentwood California nchini Marekani na una jumla ya mita za mraba 1,551 huku ukijumuisha vyumba 7 vya kulala, mabafu 11, sehemu ya kufanyia mazoezi, bar, eneo la watu kucheki movie linaloingiza watu 15 na mengine mengi ya kushangaza.
Nyumba mpya aliyonunua Travis Scott
Huu sio mjengo wake pekee, Travis ana mjengo mwingine jijini Los Angeles ambao anaumiliki pamoja na mpenzi wake Kylie Jenner, una thamani ya Bilioni 31.2 za Kitanzania.


EmoticonEmoticon