Trump Awafungia Wafanyakazi Wa Kigeni Katika Masharti Mapya Ya Visa

Donald Trump
Rais wa Marekani Donald Trump ameongeza muda wa kusitishwa kwa visa za bahati nasibu pamoja na zile za wafanyikazi wa kigeni hadi mwisho wa 2020.
Wafanyikazi wenye ujuzi mkubwa wa kiufundi, wafanyikazi wasio katika sekta ya kilimo na maafisa wakuu wa makampuni wataathirika.
Ikulu ya Marekani imesema kwamba hatua hiyo itabuni ajira kwa Wamarekani wasio na kazi kutokana na mlipunko wa corona.
lakini wakosoaji wanasema kwamba Ikulu ya Whitehouse inatumia janga la corona ili kukaza sheria za uhamiaji.


EmoticonEmoticon