VIDEO | 6iX9ine, Nicki Minaj - Trollz (Official Video)

Tekashi, Nicki Minaj Trollz video
Baada ya kutoka jela na kuileta video ya Gooba, Tekashi 69 akiwa na Female rapa Nicki Minaj wameshirikiana kuileta video ya wimbo mpya, "Trollz" ambao kabla ya masaa 24 ulikuwa umeshatazamwa zaidi ya Million 25. 

Huu ni wimbo wa pili kolabo na mwanadada Nicki Minaj ukiachana na "Fefe" ambao pia ulifanya vizuri sana kwenye mauzo. 

Video imeongozwa na CanonF8 & 6ix9ine, David Wept.


EmoticonEmoticon