Wagonjwa wa Corona Kenya Wafikia 3727

Wizara ya Afya Kenya
Idadi ya maambukizi ya virusi vya Corona nchini Kenya imeongezeka na kufikia watu 3727 hii ni baada ya Wizara ya afya kuthibitisha maambukizi mapya 133 ya Covid-19 Covid-19.

Idadi ya waliopona imefikia 1286 baada ya watu wengine 33 kupona na kuondoka hospitalini.


EmoticonEmoticon