Watu 8 Wakumbwa Na Gonjwa La Kuimbwa Kwa Sauti Kubwa

Watu 8 Familia moja Kenya
Watu 8 wa familia moja wa umri kati miaka 12 hadi 30 katika Jimbo la Kiringanya nchini Kenya wamekumbwa na ugonjwa wa ajabu wa kuimba kwa sauti kubwa.

Mama wa familia hiyo, Susan Wangari amesema watoto wake wamekutwa na hali hiyo baada ya kula Magimbi yanayosadikiwa kuwa waliiba.

Watu hao waligundulika na jirani yao aliyewakuta nje ya nyumba yao wakinyeshewa na mvua na walipoulizwa na mama yao kuhusu kinachowasibu walikuwa wakorofi.

Kwa ukorofi wao, walimpiga mama yao na kumvunja mguu ambapo kwa sasa anapatiwa huduma Hospitali ya Polisi Kerugoya.


EmoticonEmoticon