China Yaikosoa Marekani Kwa Uchochezi

Mike Pompeo
China imemkosoa waziri wa mambo ya kigeni wa Marekani Mike Pompeo, ikimtuhumu kusambaza uwongo wa kisiasa kuhusu China. 

Pompeo aliishutumu China kwa kuendesha kambi ya watu wengi katika jimbo la magharibi la Xinjiang, na wizi wa taarifa za kitaaluma na siri za kibiashara. 
Wang Yi
Wang aliwashutumu wanasiasa wa sasa wa Marekani kwa kuchochea makusudi kile alichokiita "mabishano ya kiitikadi" kati ya nchi hizo mbili, ili kubadili mkondo wa mtazamo wa raia wa Marekani.


EmoticonEmoticon