Habari Kubwa Za Soka Ulaya Jumatano Julai 29

Ferran Torres
Tetesi Za Soka Ulaya Jumatano Julai 29

1. Manchester City imemfanya winga wa Valencia na Mhispania Ferran Torres, 20, kuwa mawindo ya kwanza ya uhamisho msimu huu .

2. Tottenham wako ukingoni kukamilisha mipango ya kumsajili kiungo wa kati Pierre-Emile Hojbjerg,24, anayekipiga Southampton. 
3. Arsenal,Tottenham na Leicester wote wanamhitaji kiungo Mbrazili Philippe Coutinho, 28 wa Barcelona, ambaye anaichezea Bayern Munich kwa mkopo.

4. Rais wa Atletico Madrid Enrique Cerezo amepuuza tetesi zinazomuhusisha mlinda mlango Jan Oblak, 27, kuondoka kwenye klabu hiyo.
5. West Ham imeongeza nguvu ya ushawishi kwa ajili ya mshambuliaji wa QPR Eberechi Eze, 22, ambaye pia anacheza na kikosi cha wachezaji wa England wa chini ya miaka 21. Mchezaji huyo ana thamani ya pain milioni 20. 


EmoticonEmoticon