Habari Kubwa Za Soka Ulaya Jumatatu Julai 20

Jadon Sancho Man United
Tetesi Za Soka Ulaya Jumatatu Julai 20

1. Winga wa Borussia Dortmund Jadon Sancho, 20, huenda akahitajika kuanzisha mwenyewe hatua ya kutaka kuhamia Manchester United kwa kusema wazi kwamba anataka kuondoka klabu ya Ujerumani.

2. Juventus inachochea ung'ang'aniaji wa kumsaka mshambuliaji wa Brazil Douglas Costa, 29, katika ya Manchester City na Paris St-Germain na wanataka nafasi yake ichukuliwe na mshambuliaji wa Wolves na Mexico Raul Jimenez, 29. 
3. Kiungo wa kati wa West Ham,16, Benicio Baker-Boaitey amepangiwa kujiunga na Bayern Munich na atasafiri hadi Ujerumani kwa mazungumzo, baada ya kukataa ombi la kusaini mkataba wa makubaliano ya mchezaji wa kulipwa na Hammers atakapokuwa anatimiza miaka 17 Januari.

4. Kiungo wa kati wa Brazil Willian, 31, anayehusishwa na Tottenham, Arsenal na Manchester United - amefichua kwamba ni miongoni mwa watakaocheza mechi inayubisiriwa ya Chelsea kwa mkataba mpya baada ya kuomba makubaliano ya miaka mitatu na akapewa miwili.

5. Kiungo wa kati wa Arsenal raia wa Uhispania Dani Ceballos, 23, yuko tayari kumuomba rais wa Real Madrid Florentino Perez aongeze makubaliano yake ya mkopo na Gunners kwa msimu mwingine.


EmoticonEmoticon