Kanye West Amejiondo Kwenye Kinyanganyiro Cha Kuwania Uraisi Marekani

Kanye West
Kanye West amejitoa kwenye mbio za kuwania Urais wa Marekani kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwezi Novemba mwaka huu.

Kwa mujibu wa vyombo mbali mbali, Kanye West ambaye alitangaza nia wiki mbili zilizopita, ameripotiwa kuchelewa kuandikisha jina lake kwenye makaratasi ya Kura katika majimbo (states) 6 ya uchaguzi nchini Marekani ikiwemo Florida na South Carolina, hivyo kukata tamaa kutokana na uzito wa zoezi kwa sababu tarehe ya mwisho ni leo Julai 15.


EmoticonEmoticon