Kanye West Amwangukia Mkewe Kim Kardashian Na Kumwomba Msamaha

Kanye West and Kim
Licha ya yote ambayo aliyafanya wiki iliyopita ikiwemo kumtuhumu mkewe kutoka kimapenzi na Meek Mill, Kanye West amepewa akili ya kujishusha. Amemuomba radhi mkewe Kim Kardashian kupitia twitter wikendi iliyoisha
Kanye West Tweets
"Ningependa kuomba radhi kwa mke wangu Kim Kardashian kwa kuanika mambo hadharani, ambayo yalikuwa binafsi. Sikumsitiri kama ambavyo amekuwa akinisitiri mimi. Kim nataka kusema najua nimekuumiza. Tafadhali nisamehe. Asante kwa kila siku kuendelea kuwa na mimi." aliandika Kanye.


EmoticonEmoticon