Klabu 10 Za Soka Tajiri Zaidi Duniani Kwa Mwaka 2020

Klabu ya Liverpool inaikaribia timu ya Manchester United kuwa klabu yenye thamani kubwa zaidi England baada ya kutwaa taji la Premier League hii ni kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na  Brand Finance Football Annual.

Majogoo hao wa England sasa wakiwa nafasi ya nne duniani na thamani yao imeongezeka kwa asilimia sita hadi kufikia paundi bilioni 1.143 (€1.262bn), wakiwa nyuma ya Manchester United kwa paundi milioni 47 ambayo wenyewe kwa sasa wakiwa na thamani ya paundi bilioni 1.190 wakishuka kwa paundi milioni 143 ambapo kwa sasa wanashika nafasi ya tatu katika thamani ya vilabu duniani.

Hata hivyo klabu hizo mbili bado zipo nyuma ya miamba ya soka ya LaLiga, Real Madrid ikiongoza na Barcelona ikiwa katika nafasi ya pili.
world's most valuable football clubs 2020


EmoticonEmoticon