UHURU: KUAGWA kwa MWILI wa RAIS MKAPA

Leo Julai 26, mwili wa Rais Mstaafu wa Awamu ya tatu, Benjamin William Mkapa, umeanza kuagwa katika uwanja wa Uhuru jijini Dar, ambapo zoezi hilo litafanyika kwa siku tatu na baadaye mwili huo utasafirishwa kuelekea Masasi mkoani Mtwara kwa ajili ya mazishi yatakayofanyika Julai 29.


EmoticonEmoticon