Liverpool Wakabidhiwa Kombe Lao, Man U Yapanda Tatu Bora

Liverpool Julai 22, 2020 wamepewa Kombe lao la Ubingwa wa EPL 2019/20 baada ya kumalizika mchezo dhidi ya Chelsea waliyowafunga 5-3.

Huo ni Bingwa wa kwanza wa Liverpool wa EPL baada ya miaka 30 walikabidhiwa Kombe lao na sherehe za Ubingwa zikaanzia hapo hapo licha ya uwanja kuwa bila na mashabiki.
Manchester United wamepanda hadi nafasi ya tatu baada ya kulazimishwa sare ya 1-1 dhidi ya wagonga nyundo wa London West Ham kwa kufikisha alama 63.


EmoticonEmoticon