Mshauri Wa Usalama Wa Taifa Nchini Marekani Aambukizwa Corona

Robert O´Brien Corona
Ikulu ya White House imetangaza kwamba afisa mwingine wa ngazi ya juu ambaye ni mshauri wa usalama wa taifa Robert O´Brien ameambukizwa virusi vya corona.

Hadi jana jioni Marekani ndiyo taifa lililoathiriwa vibaya na virusi vya corona baada ya kuongezeka visa vipya 57,000 na kurikodi idadi ya vifo 147,588 kwa mujibu wa takwimu za chuo kikuu cha Johs Hopkins.


EmoticonEmoticon