Nicki Minaj Athibitisha Kuwa Na Ujauzito

Nicki Minaj Pregnant
Star wa Muziki duniani Nicki Minaj ameamua kuthibitisha kwa Mashabiki zake kuwa kwasasa yeye ni Mjamzito.

Nicki amethibitisha hilo baada ya kupost picha kwenye Ukurasa wake wa Instagram, na kuandika neno 'Preggers' ambalo linamaanisha 'Wajawazito' .
Nicki Minaj Pregnant
Staa huyo amepokea pongezi nyingi kutoka kwa watu mbalimbali Maarufu pamoja na mashabiki zake , kwa hatua hiyo muhimu kwenye Maisha yake.


EmoticonEmoticon