Pata Elimu, Ushauri Na Uvumbuzi Wa Suluhisho Juu Ya Afya Ya Mtoto.

Afya ya watoto ni muhimu kuilinda ili kuepuka matatizo mengine makubwa kuwapata watoto wetu. Kwa kuangazia hilo ni muhimu kujua na kusuluhisha matatizo
 yanayowakabili watoto wetu ambao ni taifa la kesho.

Mtaalamu wetu wa Afya ya Watoto atakusaidia kukabiliana na mambo yafuatayo;
i)Changamoto za kiafya kwa mtoto
ii)Kuboresha afya ya mtoto
iii)Utatuzi wa afya kwa mtoto

Matatizo 3 Muhimu Yanayowakumba Sana Watoto Wadogo;
i)Kutokuongezeka uzito
ii)Kupoteza hamu ya kula
iii)Magonjwa ya mara kwa mara.

Mtaalamu wetu wa Afya ya watoto anatoa elimu, tiba na ushauri ambao utakupatia suluhisho la kumaliza tatizo la mtoto.

Mawasiliano:
Whatsapp: 0767 823925.

Tunapatikana Green Eca  Kijitonyama Karibu na Stendi ya Mabasi Makumbusho Dar es Salaam.

Watoto ni furaha. Tuwalinde viongozi wetu, madaktari na waalimu wetu wa kesho. Tujifunze kuwaelimisha na kuwashauri mara kwa mara mbinu mbalimbali za kuepuka na magonjwa hatari.


EmoticonEmoticon