Rapa Meek Mill Aachana Na Mpenzi Wake Milano

Meek Mill na Milano Waachana
Penzi la Meek Mill na Milano limefikia mwisho, wameripotiwa kuachana.
Wawili hao ambao walipata mtoto hivi karibuni, kupitia twitter Meek Mill alitoa taarifa hiyo kwa kuandika wameachana kwa uzuri tu na wamebaki kuwa marafiki na walezi wa mtoto wao. Sababu za wao kuachana hazijaweka wazi.


EmoticonEmoticon