Rapa Tekashi 69 Afuta Akaunti Yake Ya Instagram

69
Rapper Tekashi 69 ameachana na akaunti yake ya Instagram, imeelezwa ni kwa ajili ya usalama wake.

Akiwa amebakiza takribani siku 17 kifungo chake kumalizika, rapa huyo ameikacha akaunti yake ya Instagram. 
Tekashi Instagram
Huwenda amefuata maelekezo ya mwanasheria wake Lazzaro ambaye amekuwa akimuongoza Tekashi 69 kufuata muongozo wa sheria.


EmoticonEmoticon