VIDEO | Taylor Swift - Cardigan

'Cardigan'

Pop Star Taylor Swift ameileta video ya wimbo wake mpya, 'Cardigan' ambao unapatikana kwenye album yake ya nane mpya 'Folklore' iliyotoka siku ya leo Julai 24. Video imeongozwa na Taylor Swift mwenyewe.