China Walalamika Kuwa Marekani Inawaibia Mtandao Wao Wa TokTok, Watoa Neno

TikTok America China
Wachina wamekasirishwa na kitendo cha Mmiliki wa TikTok, Mchina Bytedance, kukubali kuiuzia Microsoft ya Marekani operesheni ya mtandao huo Marekani kwa kile wanachoamini hiyo ni mbinu ya Marekani kuiba mawazo ya Wachina na kuwadumaza kibiashara.

"Rais Trump anasema TikTok inadukua watumiaji na kuhatarisha Usalama wa Taifa lakini anakubali inunuliwe na Microsoft kwakuwa ni kampuni ya Marekani, inashangaza kuona Mchina mwenzetu anayemiliki Tiktok anakubali upuuzi huu"-CHINA

Rais Trump amewapa siku chache Tiktok kumaliza mazungumzo na microsoft ili Kampuni hiyo isimamiwe na Wamarekani badala ya Wachina na kusema wakishindwa ataufuta mtandao huo Marekani.


EmoticonEmoticon