Habari Kubwa Za Soka Ulaya Jumatano August 12

Tetesi Za Soka Ulaya Jumatano August 12, 2020

1. Gareth Bale hataondoka Real Madrid msimu huu na sasa mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Wales mwenye umri wa miaka 32 yuko tayari kusalia Real kwa miaka miwili kabla ya kuhamia klabu mpya.

2. Aston Villa wanajiandaa kuweka dau la kumnunua mshambuliaji wa Brentford Ollie Watkins, 24.

3. Kingo wakati wa Manchester City Mhispania David Silva, 34, atajiunga na Lazio mkataba wake utakapomalizika mwisho wa msimu huu.

4. Chelsea wanapania kuiuzia AC Milan kiungo wao wa kati Mfaransa Tiemoue Bakayoko, 25 na tayari wamepunguza bai yake kufanikisha mpango huo.

5. Klabu za West Bromwich Albion, Leeds na Fulham zilizopandishwa daraja katika ligi ya Primia zinawania kumsajili Ryan Fraser, 26, winga aliyeondoka Bournemouth mwisho wa msimu wa Juni kwa uhamisho wa bure.


EmoticonEmoticon