Kanuni Mpya Ya Covid-19 Itakayompelekea Mchezaji Kupewa Kadi Nyekundu Uwanjani

 

Mchezaji ambaye atakohoa mbele ya mchezaji wa timu pinzani wakiwa uwanjani, ataoneshwa Kadi nyekundu. 

Hii ni kwa mujibu wa muongozo na kanuni mpya za Covid-19 zilizo chapishwa na Shirikisho la Soka nchini Uingereza, FA.


EmoticonEmoticon