Kanye West Avunja Ukimya, Amkumbuka Jay-Z

Rapa Kanye West ameamua kuvunja ukimya na kukiri hadharani ni kwa Jinsi gani amemkumbuka rafiki yake wa muda mrefu Jay Z.


Kupitia Ukurasa wake wa Twitter , Kanye amepost Video ikimuonesha yeye na Jay Z wakiperform pamoja Jukwaani na Kuandika ujumbe unaosomeka “Nimekukumbuka kaka , kiukweli kabisa”.

Kabla ya Kanye Kuandika Ujumbe huo , ameshakiririwa hivi karibuni akimuelezea Jay Z kama ndio mtu anaetamani awe Mgombea Mwenza wake katika harakati zake za Kugombea Urais wa Marekani . 


EmoticonEmoticon