Mchumba Wa Tekash 69 Atangaza Kupata Ujauzito (VIDEO)

Siku 4 baada ya Tekashi 69 kumaliza kifungo chake, sasa yupo tayari kulea familia yake na mtoto mwingine.

Mpenzi wake, Jade ametangaza kuwa na ujauzito. Kupitia instagram yake juzi (@ohsoyoujade) aliweka wazi hilo. Bado Tekashi hajathibitisha taarifa hizo kwa upande wake, lakini huyu atakuwa mtoto wa pili kwa wawili hao.

View this post on Instagram

I’m pregnant Hair @iam_jonathan_ Outfit @poshbyv

A post shared by JADE ⚡️ (@__ohsoyoujade) on


EmoticonEmoticon