Mlipuko Mkubwa Watokea Mji Mkuu Wa Lebanon, Beirut

Mlipuko mkubwa umepiga mji mkuu wa Lebanon, Beirut, huku kukiwa hakuna uthibitisho kuhusu mlipuko wa pili.

Mlipuko mkubwa umetokea mjini Beirut wakati kukitarajiwa uamuzi kuhusu kesi ya mauaji ya Waziri Mkuu wa zamani Rafik Hariri mwaka 2005.
Ripoti zinasema kuwa mlipuko mkubwa umetokea kwenye eneo la bandari la mji huo, huku kukiwa hakuna ripoti za kutokea kwa mlipuko wa pili. 
Mamlaka zinahofu kutokea kwa madhara makubwa.


EmoticonEmoticon