P Diddy Ndiye Msimamiaji Mkuu Wa Album Mpya Ya Burna Boy Iliyokwisha Kamilika, Inaingia Sokoni...

Burna Boy yupo tayari kutubariki na album mpya, ameitangaza Agosti 14 kuwa siku ambayo ataidondosha album yake iitwayo TWICE AS TALL.

Kubwa zaidi toka kwenye album hii ni kwamba imemuhusisha Diddy kama mtayarishaji mkuu (Executive Producer)

Kwenye mahojiano na The New York Times, Burna Boy amesema alirekodi album hiyo katika kipindi cha Corona kwa ushirikiano mkubwa na Diddy ambaye amefanya kazi pia ya kutengeneza voice-over intros kwenye baadhi ya nyimbo.


EmoticonEmoticon