Raisi Wa Marekani Ataja Tarehe Rasmi Ya Kuufungia Mtandao Wa Kijamii TitTok

Rais Donald Trump amesema mtandao wa TikTok utafungiwa rasmi kutumika nchini Marekani mnamo Septemba 15 mwaka huu, isipokuwa kama utanunuliwa na kampuni ya Kimarekani.

Baada ya kauli hiyo nzito toka kwa Rais Trump, leo zimetoka taarifa kwamba kampuni ya Microsoft imeonesha nia ya kuinunua TikTok ambayo inamilikiwa na kampuni iitwayo ByteDance yenye makazi yake mjini Beijing China.


EmoticonEmoticon