Rapa Mmoja Toka Kundi La Migos Ashtakiwa Kwa Kosa La Ubakaji

Mwanamke mmoja huko Jijini Los Angels amemshitaki Rapa anaeunda kundi la Migos , Takeoff , kuwa alimbaka walipokua kwenye Party huko Los Angels, huku akisisitiza kuwa ana ushahidi kutoka Hospitali .

Kwa Mujibu wa mtandao wa TMZ , mwanamke huyo amesema kuwa Takeoff alimlazimisha kuwa karibu nae kimya me na maamuzi yake , kabla ya kimball katika Chumba cha mtu aliyemualika katika Party hiyo .
Takeoff
Katika mashitaka hayo Mwanadada huyo anadai kabla ya yote Rapa huyo alimlazimisha avute Marijuana lakini alikataa na kuamua kukimbilia chumbani kwa mmoja wa Marafiki zake waliomualika , lakini Ghafla Take Off alimfata na kumlazimisha kufanya nae mapenzi .

Mwanamke huyo anadai alipwe fidia kutokana na kitendo alichomfanyia Rapa huyo ambacho kwa Mujibu wake kimemuathiri kisaikolojia.


EmoticonEmoticon